Nape:Uchumi wa kidijitali utafikiwa endapo kutakuwa na miundombinu wezeshi
Nape ameyasema hayo leo mjini Dodoma, katika kikao kazi cha Wakuu wa Mikoa kuhusu kufanikisha utekelezaji wa mfumo wa anwani za makazi nchini humo ifikapo mwezi Mei mwaka huu.