Maandamano ya kuipinga Rwanda kwa ‘kuunga mkono’ waasi yafanyika DR Congo
Katika shambulio la hivi punde la waasi, watu 16 waliuawa 7 kujeruhiwa na magari yalichomwa wakati wa uvamizi wa usiku katika eneo lenye hali tete la mashariki, Shirika la Msalaba Mwekundu lilisema