Serikali ya Kenya yatoa tahadhari kufuatia mlipuko wa Ebola Uganda
Serikali imetoa wito kwa kaunti zote 47 kuamsha timu zao za kukabiliana na haraka kwa maandalizi ya hafla yoyote, katika juhudi za kusaidia utambuzi wa visa vyovyote vinavyoshukiwa.

A 24-year-old man infected with Ebola has died in central Uganda in a new outbreak confirmed by health officials.