Mahakama ya Umoja wa Mataifa yaamuru Uganda kuilipa DR Congo fidia ya $325M kwa uharibifu wa kivita
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ilitaka kulipwa fidia ya dola bilioni 11 kutokana na mzozo huo uliodumu kutoka 1998 hadi 2003.