Rwanda inasema haijavunjika moyo baada ya ndege ya watafuta hifadhi ya Uingereza kufutiliwa mbali
Safari ya kwanza ya ndege ilipaswa kuondoka Uingereza kuelekea Rwanda Jumanne jioni lakini ilikatishwa baada ya uamuzi wa dakika za mwisho wa Mahakama ya Ulaya ya Haki za Kibinadamu.