Gwajima awapongeza mangariba walioacha kazi ya ukeketaji
Asema vitendo vya ukeketaji vinadhalilisha utu wa mtoto wa kike na kumuachia maumivu.
Asema vitendo vya ukeketaji vinadhalilisha utu wa mtoto wa kike na kumuachia maumivu.
Ukeketaji hufanyika kwa watoto wa kike wenye umri wa kuanzia pale alipozaliwa hadi umri wa miaka 15 na kwa sababu tofauti tofauti za kijamii kulingana na eneo na nchi.