Baraza Kuu la UN laitaka Urusi iondoke Ukraine bila masharti.
Azimio hilo namba A/ES-11/L.1 limepitishwa kwenye kikao hicho cha 11 cha dharura wakati huu ambapo Urusi inaendelea kushambulia Ukraine ambapo misingi ya azimio hilo pamoja na mambo mengine ni tangazo la tarehe 24 mwezi uliopita wa Februari la Rais Vladmir Putin wa Urusi la kuanzisha operesheni maalum ya kijeshi nchini Ukraine.