MCHANGO WA MAKUNDI YA LGBTQ DHIDI YA JANGA LA UKIMWI
Makundi maalum yaani ‘key populations’ huchangia katika maambukizi mapya ya ugonjwa wa Ukimwi. Mwanahabari wetu @medzamaureen alizungumza na mwanaharakati wa makundi ya LGBTQ na watu wanaoishi na VVU kuhusiana na mchango wao katika kuangamiza janga la Ukimwi