Ni nini Urembo wa Mwanamke?
Kuna jamii tofauti duniani ambazo bado zimeshikilia tamaduni zao, na wanawake katika jamii hizo bado hujipodoa na kuvaa vito vya kitamaduni, mfano jamii za wamasaai, Turkana na Mijikenda nchini Kenya, jamii ya Mursi nchini Ethiopia na jamii ya Himba nchini Namibia