Watoto wa familia moja wafariki kwa kukosa hewa
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia jana Jumapili, ambapo chanzo kimetajwa kuwa ni moto wa mkaa uliokuwa umewashwa ndani ili kuwapa joto watoto hao.