Nyuma ya pazia kuhusu soko la Karume ilivyowafanya wamachinga kuandamana
Wadai kupata taarifa kuwa eneo la soko hilo liko mbioni kukodishwa kwa mwekezaji
Wadai kupata taarifa kuwa eneo la soko hilo liko mbioni kukodishwa kwa mwekezaji
Ni baada ya wafanyabiashara hao kuishinikiza Serikali iwaache waendelee kufanya biashara
Wasema hawana imani na maamuzi yanayochukuliwa na viongozi wa Serikali, kutokana na wanachofanyiwa na Polisi