Dkt. Gwajima kumuwakilisha rais Samia kongamano la wanawake nchini Urusi.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima anatarajia kumwakilisha Rais wa Tanzania Samia Suluhu katika Kongamano la tatu la Kimataifa la Wanawake.