Polisi wa Kenya wamehukumiwa kwa mauaji ya wakili wa haki za binadamu
Maafisa watatu wa polisi wa Kenya walihukumiwa kifungo cha kuanzia miaka 24 jela hadi hukumu ya kifo kwa mauaji ya kikatili ya wakili Willie Kimani