Hamas Yathibitisha Kifo cha Kiongozi Wao Yahya Sinwar
Sinwar alikua anatafutwa sana na Israeli baada ya shambulio la Oktoba 7, 2023, ambalo lilikuwa baya zaidi katika historia ya Israeli
Sinwar alikua anatafutwa sana na Israeli baada ya shambulio la Oktoba 7, 2023, ambalo lilikuwa baya zaidi katika historia ya Israeli
Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel Israel Katz alisema katika taarifa yake kwamba Sinwar alikuwa “muuaji mkuu… alihusika na mauaji na ukatili wa Oktoba 7”, huku Rais Isaac Herzog akipongeza mauaji ya kiongozi huyo wa wanamgambo nyuma ya “vitendo vya kikatili vya kigaidi”.