ACT WAZALENDO WAMTAKA IGP SIRRO AJIUZULU
Chama cha ACT Wazalendo nchini Tanzania, kimemtaka Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini humo IGP Simon Sirro kujiuzulu.