September 18, 2021
-

“Hatutakubali kushinikizwa kumuachilia Conde.” Luteni Kanali Mamady Doumbouya
Rais wa Ivory coast, Alassane Ouattara,na Rais wa Ghana Nana Akufo-Addo walimtembelea kiongozi wa mapinduzi na junta Mamady Doumbouya,mjini Conakry kuomba kuachiliwa kwa Rais Conde. Rais Ouattara alitarajia kuondoka na Conde,afisa mkuu amesema. “Aliyekuwa rais…
-

Azimio la FIFA kuandaa Kombe la Dunia kila baada ya miaka 2 lapata uungwaji mkono na mashabiki
FIFA imeendeleza msukumo wake wa kutaka kuandaa Kombe la Dunia la wanaume kila baada ya miaka miwili kwa kupata uungwaji mkono na mashabiki wa kandanda kote duniani. Mashabiki hao wakiwa wamepigia debe kufanyika kwa shindano…
-

Rais wa zamani wa Algeria aaga dunia
Rais wa zamani wa Algeria Abdelaziz Bouteflika, aliyepigania uhuru wa taifa lake kutoka kwa ukoloni wa Ufaransa ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 84. Abdelaziz Bouteflika,alikuwa rais wa Algeria kwa miaka 20 kutoka mwaka…
-

Shirika la Kimataifa la Kutetea Haki za binadamu limetangaza wasanii watakaoshiriki katika tamasha ya Global Citizen Live
Tamasha ya Global Citizen Live hufanyika kwenye siku moja na kuonyeshwa katika mabara yote saba kwa saa 24 kote duniani kupitia televisheni, Apple Music, Apple TV App, YouTube, Twitter na kupitia vituo vya redio katika…







