Takriban watu watatu wauawa na wengine 33 kujeruhiwa katika milipuko miwili Kampala,Uganda
“Takriban watu sita wameuawa na wengine 33 kujeruhiwa”, amesema msemaji wa polisi Fred Enanga, inadaiwa kuwa walipuaji watatu wakujitoa muhanga wamehusika katika mashambuzlizi ya leo.