Rais wa Uganda Yoweri Museveni awataja magaidi waliohusika katika milipuko Kampala
Mlipuaji wa kujitoa mhanga aliyejilipua katika makao makuu ya polisi ametambuliwa kama Mansoor Uthman,aliyejilipua barabara ya Parliamentary ametambuliwa kama Wanjusi abdallah.