• Home
  • Politics
  • Business / Finance
  • Sports
  • Entertainment
  • Africa
  • East Africa
  • Home
  • Politics
  • Business / Finance
  • Sports
  • Entertainment
  • Africa
  • East Africa
X-twitter Youtube Tiktok Facebook-f Icon-instagram-1 Linkedin Telegram Whatsapp

Day: March 3, 2022

Viongozi wa dini wamuomba Rais Samia kutumia busara kumaliza kesi ya Mbowe.
Africa East Africa

Viongozi wa dini wamuomba Rais Samia kutumia busara kumaliza kesi ya Mbowe.

Asia GambaMarch 3, 2022March 3, 2022

Hayo yamejiri jana Ikulu jijini Dar es salaam wakati wa mkutano wa viongozi wa dini na Rais Samia Suluhu ikiwa ni mwendelezo wa ahadi ya rais huyo katika kukutana na makundi mbalimbali kuzungumza nayo.

Afisa mkuu na meya kati ya 7 waliouawa katika shambulio nchini Cameroon
Africa Politics

Afisa mkuu na meya kati ya 7 waliouawa katika shambulio nchini Cameroon

Maureen MedzaMarch 3, 2022March 3, 2022

Cameroon imekumbwa na ghasia tangu Oktoba 2017 baada ya  wanamgambo kutangaza kuwa eneo la Kaskazini-Magharibi na eneo jirani la Kusini-Magharibi ni maeneo huru.

Kuna tishio la ustawi wa watoto milioni 7.5 nchini Ukraine.
Africa

Kuna tishio la ustawi wa watoto milioni 7.5 nchini Ukraine.

Asia GambaMarch 3, 2022March 3, 2022

Mbali na kuongezeka kwa mahitaji ya kibinadamu UNFPA ilibainisha kuwa watoto wameuawa, kujeruhiwa, na wanatiwa kiwewe sana na ghasia zinazowazunguka. Mamia kwa maelfu ya watoto wametenganishwa na familia zao na kukimbilia nchi jirani kusaka hifadhi.

Baraza Kuu la UN laitaka Urusi iondoke Ukraine bila masharti.
Africa

Baraza Kuu la UN laitaka Urusi iondoke Ukraine bila masharti.

Asia GambaMarch 3, 2022March 3, 2022

Azimio hilo namba A/ES-11/L.1  limepitishwa kwenye kikao hicho cha 11 cha dharura wakati huu ambapo Urusi inaendelea kushambulia Ukraine ambapo misingi ya azimio hilo pamoja na mambo mengine ni tangazo la tarehe 24 mwezi uliopita wa Februari la Rais Vladmir Putin wa Urusi la kuanzisha operesheni maalum ya kijeshi nchini Ukraine.

Posts navigation

Newer posts

Uncensored & Undaunted

Find Us Here

Facebook-f X-twitter Linkedin-in Youtube Instagram
  • Privacy Policy
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • Terms & Conditions

Mwanzo Tv News 

All Rights Reserved © 2024

We use cookies to ensure that we give you the best experience on our website. If you continue to use this site we will assume that you are happy with it. Privacy policy