Mtoto wa miaka 15 adaiwa kuwalawiti watoto wenzake 19 nchini Tanzania
Mtoto huyo amebainika jana Machi 14, baada ya Dawati la Jinsia la Polisi kwa kushirikiana na maofisa wa usitawi wa jamii wa Manispaa na Mkoa huo kufanya oparesheni ya kuwasaka watuhumiwa wa matukio ya udhalilishaji.