Afrika Kusini: 15 wafariki, 37 wajeruhiwa katika ajali ya barabarani
Watu 15 wameuawa na 37 kujeruhiwa Ijumaa wakati basi na lori lilipogongana kwenye barabara kuu ya Afrika Kusini karibu na mji mkuu Pretoria
wordpress-seo
domain was triggered too early. This is usually an indicator for some code in the plugin or theme running too early. Translations should be loaded at the init
action or later. Please see Debugging in WordPress for more information. (This message was added in version 6.7.0.) in /home/mwanzotv/public_html/wp-includes/functions.php on line 6114Watu 15 wameuawa na 37 kujeruhiwa Ijumaa wakati basi na lori lilipogongana kwenye barabara kuu ya Afrika Kusini karibu na mji mkuu Pretoria
Awali, Mei 31 mwaka huu Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama hiyo, Patricia Kisinda aliyekuwa anasikiliza kesi hiyo, alipanga kutoa hukumu lakini ilishindikana kutokana na kudaiwa kuwa nje ya kituo cha kazi kwa majukumu mengine.
Jenerali Mabeyo alisema hayo juzi mkoani Morogoro wakati wa ziara yake ya kuaga vikosi vya ulinzi na usalama, pamoja na kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa wa Morogoro.
Nchi 193 wanachama wa Umoja wa Mataifa wameshiriki katika uchaguzi huo uliofanyika katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York Marekani ndani ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ambapo nchi ya Msumbiji ilipigiwa kura 192, Ecuador – 190, Uswizi – 187, Malta- 185 na Japani – 184
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Henry Mwaibambe alisema tukio hilo ni la Juni 4, mwaka huu na kijana huyo alikutwa amejinyonga kwa kutumia mkanda wa suruali na tai ya shule.
Chanzo cha mauaji hayo ni mgogoro wa muda mrefu kati ya wanandoa hao hususani jioni mwanamke anapolewa na kuanza kumtuhumu mumewe kuwa hana msaada wowote katika maisha yao.