Msafara wa Rais wa Nigeria washambuliwa na watu wasiojulikana.
Shambulio hilo linadhihirisha kuwa hali ya usalama nchini Nigeria ni mbaya kutokana na makundi ya uhalifu yanazuka kila uchwao
Shambulio hilo linadhihirisha kuwa hali ya usalama nchini Nigeria ni mbaya kutokana na makundi ya uhalifu yanazuka kila uchwao
Kwa mujibu wa matokeo ya utafiti huo baada ya kupata mtoto wao wa kwanza, kuongeza idadi ya watoto kwa wasichana vigori imekuwa ni kawaida.
Akizungumza shuleni hapo alipotembelea shule hiyo kutoa pole na kujionea madhara ya moto huo, Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakari Kunenge alisema tukio lilitokea alfajiri, wakati wanafunzi hao wakiwa kwenye ibada msikitini.
Katika taarifa iliyotolewa jana Jumanne Julai 5, 2022 na Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), bei ya rejareja jijini Dar es Salaam itakuwa shilingi 3,220 kwa lita moja ya petroli na shilingi 3,143 kwa dizeli huku mafuta ya taa yakifika shilingi 3,442.
Mganga mfawidhi wa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Kigoma, Maweni Dkt, Stanley Binagi amethibitisha kifo cha mtoto huyo kilichotokea katika hospital ya mkoa wa Morogoro akiwa njiani kupelekwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa ajili ya kupatiwa matibabu zaidi.