Tanesco yasitisha kuzima mifumo ya Luku
Taarifa iliyotolewa asubuhi ya leo Jumatano na Meneja Mwandamizi wa Tehama wa shirika hilo, Cliff Maregeli alisema matengenezo hayo ya siku nne yalikuwa yaanze Agosti 22 – 25, 2022 kuanzia saa 4 usiku hadi saa 1 asubuhi.