• Home
  • Politics
  • Business / Finance
  • Sports
  • Entertainment
  • Africa
  • East Africa
  • Home
  • Politics
  • Business / Finance
  • Sports
  • Entertainment
  • Africa
  • East Africa
X-twitter Youtube Tiktok Facebook-f Icon-instagram-1 Linkedin Telegram Whatsapp

Day: August 31, 2022

Kenya: Hatimaye IEBC imefungua sava ili uhakiki ufanywe
East Africa Politics

Kenya: Hatimaye IEBC imefungua sava ili uhakiki ufanywe

Victor WanaswaAugust 31, 2022August 31, 2022

Tume ya IEBC imefungua sava na kupisha zoezi la uhakiki kuanza

Asilimia 99 ya Watanzania wamehesabiwa sensa ya watu na makazi
Africa East Africa

Asilimia 99 ya Watanzania wamehesabiwa sensa ya watu na makazi

Asia GambaAugust 31, 2022August 31, 2022

Mtakwimu Mkuu wa Serikali nchini Tanzania, Dkt Albina Chuwa hii leo amewaambia wanahabari kwamba hatua hiyo iliyobaki itakwenda kukamilika hadi tarehe 5 2022 September na zoezi hilo litafanyika kwa njia ya simu zilizotolewa zitatumika kuwafikia ambao hawajahesabiwa .

Mwanafunzi afariki dunia baada ya kupigwa na mwanafunzi mwenzake                        
Africa East Africa

Mwanafunzi afariki dunia baada ya kupigwa na mwanafunzi mwenzake                       

Asia GambaAugust 31, 2022August 31, 2022

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoani Geita, Ally Kitumbu amethibitisha tukio hilo alipozungumuza na waandishi  wa habari na kumtaja mtuhumiwa wa tukio kuwa ni mwanafunzi wa darasa la saba, shule ya msingi Mkombozi iliyopo mjini Geita, Haruna Amin (16). 

Tanzania kutoa chanjo ya polio awamu ya tatu nchi nzima 
Africa East Africa

Tanzania kutoa chanjo ya polio awamu ya tatu nchi nzima 

Asia GambaAugust 31, 2022August 31, 2022

Waziri wa Afya nchini humo Ummy Mwalimu amesema utoaji wa chanjo hiyo ni kufuatia mlipuko wa ugonjwa huo uliotokea katika nchi jirani ya Malawi mnamo Februari 17, 2022 na kisha nchini Msumbiji mnamo Mwezi Mei 2022.

Uncensored & Undaunted

Find Us Here

Facebook-f X-twitter Linkedin-in Youtube Instagram
  • Privacy Policy
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • Terms & Conditions

Mwanzo Tv News 

All Rights Reserved © 2024

We use cookies to ensure that we give you the best experience on our website. If you continue to use this site we will assume that you are happy with it. Privacy policyOkNo