NHIF yapewa siku 14 kupeleka mpango wa kuboresha takwimu za matibabu
Amesema hayo leo jijini Dodoma wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari na kueleza kuwa kumekuwepo na vitendo vya udanganyifu kwenye, mfuko huo, hali inayochangia kuyumbisha mfuko.