Washtakiwa wanne kesi ya Sabaya waachiwa huru
Agosti 3 mwaka huu washtakiwa wanne waliokuwa katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Sabaya ambao ni Silvester Nyegu, John Aweyo, Nathan Msuya na Antero Assey waliandika barua ya kuomba kufanya makubaliano na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kuhusu shauri linalowakabili.