Nyuki wakatisha uhai wa mwalimu mkoani Kigoma.
Tukio hilo limetokea Februari 13, 2023 katika eneo la mtaa wa Mwasenga, Manispaa ya Kigoma Ujiji, muda mfupi mara baada ya watoto waliokuwa wakitoka shule kurusha mawe juu ya mwembe huo na kusababisha nyuki kuzagaa na kumvamia mwalimu huyo na kumshambulia na hatimaye kupoteza maisha.