Chama cha upinzani nchini Kenya chaandaa maandamano ya siku ya tatu
Odinga ameitisha maandamano kila Jumatatu na Alhamisi akimshutumu Rais William Ruto kwa kuiba uchaguzi wa mwaka jana na kushindwa kudhibiti kupanda kwa gharama ya maisha
Odinga ameitisha maandamano kila Jumatatu na Alhamisi akimshutumu Rais William Ruto kwa kuiba uchaguzi wa mwaka jana na kushindwa kudhibiti kupanda kwa gharama ya maisha
Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris amewasili Dar es Salaam nchini Tanzania usiku wa Jumatano kwa ziara yake rasmi ya kiserikali ya siku tatu nchini humo