Upinzani nchini Kenya watangaza mpango ujao baada ya kusitisha maandamano
Mkutano wa kwanza wa ukumbi wa jiji umeratibiwa kufanywa jijini Nairobi mnamo Alhamisi, Aprili 13
Mkutano wa kwanza wa ukumbi wa jiji umeratibiwa kufanywa jijini Nairobi mnamo Alhamisi, Aprili 13
Hatua hiyo imekuja baada ya kuwepo kwa matukio ya kuwafanyia vitendo vya ukatili na ukiukwaji wa maadili na udhalilishaji kwa wanafunzi unaofanywa kwenye mabasi ya shule.
Waziri wa Elimu, Profesa Adolf Mkenda amesema kuwa ruhusa hiyo ni kwa wanafunzi wote waliofutiwa matokeo wakiwemo wanafunzi wanne waliofutiwa kwa kuandika matusi.