Bunge lapitisha bajeti ya shilingi bilioni 54 ya Ofisi ya Makamu wa Rais
Katika bajeti hiyo, shilingi Bilioni 14.7 ni ya Makamu wa Rais ambapo ni matumizi ya kawaida, shilingi Bilioni 1.2 kwa ajili ya mishahara na shilingi Bilioni 13.4 ni kwa ajili ya matumizi mengine.