#KENYA: Mbio za Safari Rally zinafanyika wikendi hii jijini Naivasha, Ali Kiba naye atatumbuiza
Rais William Ruto alisema mashindano hayo ya 2023 ya WRC Safari Rally yaliyosubiriwa kwa hamu yatakuza utalii na kubuni fursa za kiuchumi
Rais William Ruto alisema mashindano hayo ya 2023 ya WRC Safari Rally yaliyosubiriwa kwa hamu yatakuza utalii na kubuni fursa za kiuchumi
At the official WRC Safari Rally flag-off, the cabinet secretary for youth affairs, sports, and arts CS assured Kenyans that…
Mapema hii leo, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera alitangaza dau la shilingi Milioni tano kwa mtu yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kupatikana kwa mwanafunzi huyo.
Serikali imesema itarejesha hekta 74,432 kwa wananchi wa Mbarali zilizokuwa eneo la hifadhi ya Taifa ya Ruaha, baada ya hatua ya wananchi kuziomba kushindikana kwa takribani miaka saba.
Zambia is the second-biggest producer of copper in Africa after the Democratic Republic of Congo, and the seventh producer in the world