Mashirika Kadha Kuandaa Maandamano Sambaba Na Azimio
Kiongozi wa azimio Raila Odinga ametangaza rasmi kuwa siku ya Jumatano tarehe 12/7/2023, kikosi chake kitarejea tena uwanajani
Kiongozi wa azimio Raila Odinga ametangaza rasmi kuwa siku ya Jumatano tarehe 12/7/2023, kikosi chake kitarejea tena uwanajani
Madaktari katika Hospitali ya Kaunti Ndogo ya Malindi katika Kaunti ya Kilifi wamekuja na ubunifu ambao utasaidia kupunguza Kuvuja damu kwa PostPartum yaani PPH miongoni mwa wanawake.
Kulingana na toleo hili la mwaka 2023, watu bilioni 1.1 kati ya bilioni 6.1 (zaidi ya 18%) wanaishi katika umaskini mkubwa wa pande nyingi katika nchi 110.
Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga linawashikilia vijana watatu kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi wa shule ya sekondari Kishimba iliyopo Manispaa ya Kahama mkoani humo wakati akitoka dukani kununua vitu.
Wito huo umetolewa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) katika kikao chake cha kawaida chini ya Mwenyekiti wake Rais Samia Suluhu Hassan kilichofanyika Julai 09, jijini Dodoma.
Mkutano huo umeongozwa na Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Namibia, Netumbo Nandi Ndaitwah ambapo pamoja na mambo mengine, amezisihi Nchi wanachama wa SADC kuendelea kushirikiana na DRC pamoja na Msumbiji na kuhakikisha kuwa hali ya amani inarejea.
Waziri wa Afya nchini Tanzania, Ummy Mwalimu amewataka wataalamu wa afya nchini humo kupunguza semina ili kuwa na muda zaidi wa kutoa huduma bora za matibabu kwa wananchi.