Miaka 30 jela kwa kumlawiti mwanafunzi wa kidato cha pili mkoani Katavi.
Hukumu hiyo imetolewa Agosti 9,2023 na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Katavi, Gway Sumaye, ambapo mbali na adhabu hiyo, wawili hao wanatakiwa kumlipa muathirika wa tukio hilo shilingi milioni mbili kila mmoja ikiwa ni fidia.