HRW yaishutumu Rwanda kuhusika na mauaji ya wakosoaji dhidi ya Serikali ya Kagame
Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) limeishutumu Rwanda kwa kutumia mbinu za ukandamizaji kuwalenga wakosoaji wake nje ya nchi, wakiwemo wale ambao wametafuta ulinzi wa kimataifa