Je nini kitafuata baada ya maandamano makubwa ya Kenya?
Wakenya wengi wamechanganyikiwa sana na serikali huku wakihangaika na mzozo wa gharama ya maisha — ambao waandamanaji wanasema kupanda huko kutazidisha tu.
Wakenya wengi wamechanganyikiwa sana na serikali huku wakihangaika na mzozo wa gharama ya maisha — ambao waandamanaji wanasema kupanda huko kutazidisha tu.
Wafanyabiashara wanaitaka Serikali kupunguza kodi, kuwawekea mazingira mazuri ya biashara lakini pia kuwekwa kwa mifumo mizuri ya ukusanyaji kodi tofauti na inavyofanywa hivi sasa.
Rais wa Kenya William Ruto aliapa kuchukua msimamo mkali dhidi ya “vurugu na machafuko” yaliyotokea siku ya Jumanne, baada ya maandamano ya kupinga mapendekezo ya serikali yake ya kupandisha ushuru kuwa mbaya na waandamanaji kulivamia bunge.
Wabunge wanapata fursa ya kupiga kura baada ya siku saba za majadiliano tangu bajeti hiyo ilipowasilishwa bungeni jijini Dodoma Juni 13 mwaka huu, ikiwa ni bajeti ya nne.