Benin yawakamata watu watatu wanaoshukiwa kupanga mapinduzi
Waendesha mashtaka wa Benin Jumatano walisema kwamba watu watatu mashuhuri akiwemo kamanda wa kikosi cha ulinzi wa rais walikamatwa kwa tuhuma za kupanga “mapinduzi” katika taifa hilo dogo la Afrika Magharibi.