Rais wa Tanzania azindua tume ya kuchunguza wahusika wa ghasia za uchaguzi wa 2025
Tume hiyo imepewa jukumu la kuchunguza kwa kina watu waliohusika katika ghasia hizo, ikiwa ni pamoja na kubaini waliochochea matukio hayo na waliotoa fedha au rasilimali zilizowezesha kutokea kwa ghasia.