Africa Crime & Justice East Africa Politics Tanzania

Mpelelezi Mkuu katika kesi ya uhaini dhidi ya Lissu, aeleza mbinu alizotumia kumpeleleza  Lissu

Shahidi huyo ni Kamishna Msaidizi wa Polisi, Amini Mahamba, ambaye ndiye mpelelezi mkuu wa kesi hiyo mwenye umri wa miaka 50, ambaye amesema amekuwa akifanya kazi katika Jeshi la Polisi tangu mwaka 2000 na kwa sasa anafanya kazi katika kitengo kinachoshughulikia makosa ya mtandao, maadili ya umma na makosa yanayohusisha usalama wa nchi.