Serikali ya Zanzibar yatangaza rasmi umiliki wa Shamba la Razaba huko Bagamoyo, yatoa onyo kwa wenye kutaka kujimilikisha
Taarifa iliyotolewa na serikali ya Zanzibar, kupitia kwa msemaji wake, Charles Hilary, imeeleza kuwa shamba hilo ni mali ya serikali na haitambui mtu yoyote aliyemilikishwa; au kujimilikisha eneo hilo.