Asia Gamba
-

Safu mpya ya uongozi wa ACT Wazalendo ilivyoweka kipaumbele cha uchaguzi ili kushika dola.
Wiki hii ilikuwa ni wiki ya hekaheka za vikao vya kamati kuu vya chama cha upinzani cha ACT Wazalendo, ambayo imeishia katika mkutano mkuu wa chama hicho ambao ulitambulisha safu ya viongozi wapya ikiwa ni…
-

Somalia mwanachama kamili Jumuiya ya Afrika Mashariki
Somalia sasa imekuwa mwanachama kamili wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) baada ya kukamilisha hatua zote zilizohitajika ili kuidhinishwa kuwa mwanachama wa jumuiya hiyo ya kikanda.
-

Mzee Mwinyi afariki dunia kwa saratani ya mapafu
Ali Hassan Mwinyi maarufu Mzee Rukhsa alikuwa rais wa awamu ya pili ncini Tanzania aliyehudumu madarakani kwa miaka 10 kutoka mwaka 1985 mpaka 1995.
-

Lowassa jemedali wa siasa nchini Tanzania
Lowassa amefarikI Februari 10,2024 siku ya Jumamosi katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete iliyoko jijini Dar es salaam.
-

Mswada wa Sheria ya uchaguzi Tanzania kizungumkuti
Miswada hiyo ambayo imeibua mjadala pamoja na kupingwa na wadau mbalimbali ikiwamo vyama vya siasa, imetajwa kuwa na uzito wa kipekee kiasi cha kuongezewa muda wa wiki moja tofauti na utaratibu wa kawaida wa bunge…
-

Mbowe afanya mazungumzo na Balozi wa Marekani nchini Tanzania
Mbowe amekutana na Balozi Battle ikiwa zimebaki siku 6 kuelekea maandamano ya amani yanayotarajiwa kufanyika Januari 24,2024.
-

Chadema kuhitimisha maandamano ofisi za UN.
Chama Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania, Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimesema tayari kimewasilisha barua kwa mamlaka za Polisi nchini humo juu ya kuzijulisha maandalizi yake ya kufanyika kwa Maandamano ya amani yatakayofanyika January 24…
-

Meli kubwa iliyobeba watalii 2,210 yatua Bandari ya Dar
Meli hiyo inayoitwa Norwegian Cruise Line Dawn yenye urefu wa mita 294, imetajwa kuwa kubwa zaidi kuwasili katika bandari zote nchini tangu kuanzishwa kwake. Norwegian Cruise Line Dawn ilianza kufanya kazi mwaka 2002 ikiwa na…
-

Chadema:Serikali itekeleze madai yetu, tupo tayari kwa mdahalo
Msimamo huo umetolewa leo tarehe 15 Januari 2022 kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa na Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje Chadema, John Mrema, ikiwa ni siku moja baada ya Makonda kutaka mdahalo na…
-

CCM yamteua Nchimbi kuwa Katibu Mkuu wake
Dk Nchimbi anachukua nafasi ya Daniel Chongolo ambaye alijiuzulu kwa kile alichodai kuwa amechafuliwa kwenye mitandao ya kijamii.







