Asia Gamba
-

Mahakama ya Uganda yasikiliza pingamizi la sheria kali dhidi ya wapenzi wa jinsia moja
Mahakama ya kikatiba ya Uganda siku ya Jumatatu ilianza kusikiliza pingamizi la kwanza la sheria kali dhidi ya wapenzi wa jinsia moja ambayo imezua ukosoaji kutoka kwa Umoja wa Mataifa na kusababisha vikwazo vya viza…
-

Mashirka 16 ya Umma yaunganishwa,manne yafutwa
Serikali ya Tanzania imetangaza kuyaunganisha mashirika na taasisi 16 na kufuta mashirika na taasisi za umma nne, ili kuongeza tija katika utendaji kazi.
-

Joshua Mollel, mwanafunzi wa pili kutoka Tanzania aliyeuawa na Hamas nchini Israel.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania January Makamba alitangaza Alhamisi Desemba 14, 2023 kuwa Serikali ya Israel iliwafahamisha kuwa Joshua Mollel, kijana wa Kitanzania aliyekuwa akisoma nchini Israel, aliuawa…
-

Chadema yatafakari uamuzi wa Mahakama kesi ya kina Mdee
Mahakama Kuu ya Kanda ya Dar es Salaam jana Desemba 14,2023, ilibatilisha uamuzi wa Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) la kuwavua uanachama wabunge wa Viti Maalum, Halima Mdee na wenzake 18…
-

Serikali:Wananchi chukueni tahadhari kujikinga na magonjwa na mfumo wa hewa
Mganga mkuu wa Serikali nchini Tanzania, Prof. Tumaini Nagu amewata wananchi kuzingatia kanuni za afya kwa kuzingatia usafi na kupata chanjo ya UVIKO 19 kwa ukamilifu ili kujikinga na magonjwa ya njia ya hewa ikiwemo…
-

Akamatwa akidaiwa kumbaka mtoto wa miaka saba
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linamshikilia mtu mmoja (32), akituhumiwa kumbaka mtoto wa miaka saba ambaye ni mwanafunzi wa darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Nalunga, iliyopo katika Halmashauri ya Mji Nanyamba, mkoani…
-

Ruto:Kenya kutoka kwenye dhiki ya deni.
Rais William Ruto amesema kwamba Kenya inatoka “katika dhiki ya madeni”, akipigia debe sera zake za kiuchumi licha ya hasira ya umma kuhusu nyongeza ya ushuru na kupunguza ruzuku wakati nchi hiyo ikiadhimisha miaka 60…
-

Pombe yakatisha maisha ya Zahara, mwimbaji wa Afrika Kusini
Mwimbaji huyo mashughuli aliyeshinda tuzo myimgi alifariki Jumatatu usiku kutokana na tatizo la Ini lililotokana na unywaji wa pombe kupita kiasi.
-

Mwanasheria wa Tanzania Joseph Oleshangay atunukiwa tuzo ya Haki za Binadamu ya Weimar nchini Ujerumani.
Mwanasheria wa haki za binadamu kutoka nchini Tanzania Joseph Moses Oleshangay ametunukiwa Tuzo ya Haki za Kibinadamu ya Weimar nchini Ujerumani mnamo Desemba 10, 2023, ambayo pia ilifanyika kuwa Siku ya Kimataifa ya Haki za…
-

Nape atangaza vita na waliomzushia kifo Makamu wa Rais wa Tanzania
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, amesema Serikali itachukua hatua kwa waliomzushia kifo Makamu wa Rais, Dk Phillip Mpango, ili kudhibiti matumizi mabaya ya mtandao na kuwalinda wananchi dhidi ya matumizi…







