Namba za simu za utapeli 52,087 zafungiwa nchini Tanzania
Mamlaka ya Mawasiliano nchini Tanzania(TCRA) imetangaza kuzifungia jumla ya namba tambulishi 52,087, zikiwemo zile zinazohusishwa na wizi, utapeli na ulaghai kupitia mitandao wa simu.
Mamlaka ya Mawasiliano nchini Tanzania(TCRA) imetangaza kuzifungia jumla ya namba tambulishi 52,087, zikiwemo zile zinazohusishwa na wizi, utapeli na ulaghai kupitia mitandao wa simu.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha ilipanga kutaja kesi hiyo leo Novemba 8, 2022 lakini Wakili wa Serikali Upendo Shemkole aliimweleza Hakimu Mkazi, Harieth Mhenga kuwa upelelezi wa kesi hiyo haujakamilika.
Waziri wa Fedha na Mpango, Dk Mwigulu Nchemba amewasilisha mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka wa fedha 2023/24 katika Kamati ya Bunge zima ambapo inatarajia kukusanya na kutumia shilingi trilioni 43.3.
Ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan nchini pia imeshuhudia nchi hiyo ikiipunguzia Tanzania sehemu ya deni lake lenye thamani ya shilingi bilioni 31.4.
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk. Philip Mpango amesema kutekelezwa kwa mradi wa Reli ya kisasa (SGR) kutoka Uvinza mkoani Kigoma nchini humo hadi Kindu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kupitia Gitega nchini Burundi kutaongeza ufanisi katika matumizi ya Ukanda huru wa biashara Barani Afrika kwa kuimarisha usafirishaji wa watu na bidhaa.
Polisi watano wa kituo kidogo cha Uyole jijini Mbeya nchini Tanzania wamekamatwa kwa tuhuma za kula njama na kutaka kusafirisha wahamiaji haramu sita raia wa Ethiopia.
Kauli hiyo imetolewa leo bungeni Dodoma na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati wa kipindi cha maswali ya papo kwa papo.
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (PAC) imebaini utoaji wa mikopo inayofikia shilingi bilioni 1.76 kwa wanafunzi wasiostahili katika kipindi cha kati ya mwaka 2016 hadi mwaka 2018.
Mradi huo unahusisha visima saba na tenki la kuhifadhia maji lenye ukubwa la lita 15 milioni unatekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (Dawasa) umekamilika kipindi ambacho jiji la Dar es Salaam lina uhaba mkubwa wa maji.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoani Mwanza, Maili Makori amesema wanawasaka wazazi wa mtoto huyo waliotoweka mara baada ya mauaji hayo.