• Home
  • Politics
  • Business / Finance
  • Sports
  • Entertainment
  • Africa
  • East Africa
  • Home
  • Politics
  • Business / Finance
  • Sports
  • Entertainment
  • Africa
  • East Africa
X-twitter Youtube Tiktok Facebook-f Icon-instagram-1 Linkedin Telegram Whatsapp

Author: Asia Gamba

Msimamo wa serikali ya Tanzania kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta
Africa East Africa

Msimamo wa serikali ya Tanzania kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta

Asia GambaAugust 5, 2022August 6, 2022

Mapema wiki hii Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), ilitangaza bei mpya za ukomo wa mafuta, ikionesha Jiji la Dar es Salaam lita moja ya petroli ni shilingi  3,410 na shilingi 3,322 kwa dizeli, huku mafuta ya taa yakifika shilingi 3,765.

Uhuru Kenyatta, milionea mrithi na rais asiyeweza kuchunguzwa
Africa East Africa

Uhuru Kenyatta, milionea mrithi na rais asiyeweza kuchunguzwa

Asia GambaAugust 5, 2022August 5, 2022

Mzee huyo mwenye umri wa miaka 60 amefanya kazi kwa bidii ili kuinua hadhi ya kimataifa ya Kenya na kujidhihirisha kama mwanasiasa wa kanda, akitaka kutatua migogoro nchini Ethiopia na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Kifo cha Mwangosi kinavyozunguka kwenye vichwa vya Polisi Tanzania
Africa East Africa

Kifo cha Mwangosi kinavyozunguka kwenye vichwa vya Polisi Tanzania

Asia GambaAugust 4, 2022August 4, 2022

Daudi Mwangosi aliuawa Septemba 2,2012 katika kijiji cha Nyololo mkoani Iringa, mbele ya Kamanda wa Polisi kipindi hicho mkoani humo Michael Kamuhanda, wakati polisi wapofika kwenye Ofisi ya CHADEMA ili kuwatawanya wasifungue tawi la chama chao katika kijiji hicho.

Bwege kumpigia kampeni Raila Odinga kwenye uchaguzi mkuu Kenya
Africa East Africa

Bwege kumpigia kampeni Raila Odinga kwenye uchaguzi mkuu Kenya

Asia GambaAugust 4, 2022August 4, 2022

Uchaguzi wa Kenya unatarajiwa kufanyia Agosti 9 Mwaka huu,ambapo mpinzani mkubwa wa Raila Odinga  katika Uchaguzi huo ni Naibu Rais Dk William Ruto.

Ashikiliwa na Polisi kwa kuwapora watalii kisha kuwatelekeza
Africa East Africa

Ashikiliwa na Polisi kwa kuwapora watalii kisha kuwatelekeza

Asia GambaAugust 3, 2022August 3, 2022

Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi ACP Richard ThadeI Mchomvu  alimtaja mtuhumiwa huyo kuwa ni Mohamed Aboud Mtoro (37), msukuma wa Darajabovu mkoani humo ambae alipora watalii waliotokea nchini Poland. 

Raia sita wa Nigeria wakamatwa kwa ulaghai wa tovuti ya watu wa jinsia moja
Africa

Raia sita wa Nigeria wakamatwa kwa ulaghai wa tovuti ya watu wa jinsia moja

Asia GambaAugust 3, 2022August 3, 2022

Kukamatwa huko kulifuatia malalamishi ya mwathiriwa aliyedai kuwa alipigwa picha za uchi, huku akitishia kuzichapisha kwenye mitandao ya kijamii ikiwa hatazipa pesa.

Hakuna homa ya Nyani Tanzania
Africa East Africa

Hakuna homa ya Nyani Tanzania

Asia GambaAugust 3, 2022August 3, 2022

Julai 23 WHO ilitangaza kuwa homa ya nyani ni dharura ya afya ya umma duniani, hatua ambayo inalenga kuwezesha shirika hilo kuratibu na kushirikiana na nchi na wadau halikadhalika mshikamano wa kidunia.

IEBC inashikilia uamuzi wa kutumia rejista ya kielektroniki ya wapiga kura nchini Kenya, ikisubiri uamuzi wa mahakama
Africa East Africa

IEBC inashikilia uamuzi wa kutumia rejista ya kielektroniki ya wapiga kura nchini Kenya, ikisubiri uamuzi wa mahakama

Asia GambaAugust 3, 2022August 3, 2022

Akihutubia wanahabari katika ukumbi wa Bomas of Kenya siku ya Jumanne, kamishna wa IEBC Abdi Guliye alisisitiza kuwa watakuwa wakitumia sajili ya kidijitali na tayari wamepeleka vifaa hivyo katika vituo vingi vya kupigia kura vilivyowekwa kutumika katika zoezi la upigaji kura.

Maumivu ya bei ya mafuta nchini Tanzania huku gharama za maisha zikiongezeka
Africa East Africa

Maumivu ya bei ya mafuta nchini Tanzania huku gharama za maisha zikiongezeka

Asia GambaAugust 3, 2022August 6, 2022

Aidha, katika taarifa iliyotolewa jana Jumanne Agosti 2, 2022 na Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), bei ya rejareja jijini Dar es Salaam baada serikali kuweka ruzuku ya shilingi bilioni 100, itakuwa shilingi 3,410 kwa lita moja ya petroli na shilingi 3,322 kwa dizeli huku mafuta ya taa yakifika shilingi 3,765.

HRW: Kutowajibishwa kwa Polisi nchini Kenya kunaongeza hatari ya vurugu za uchaguzi nchini humo
Africa East Africa

HRW: Kutowajibishwa kwa Polisi nchini Kenya kunaongeza hatari ya vurugu za uchaguzi nchini humo

Asia GambaAugust 2, 2022August 2, 2022

Human Rights Watch imesema mamlaka imeshindwa kuchunguza tuhuma za ukatili wa polisi au kufanya mageuzi katika idara hiyo, na kuongeza wasiwasi wa kutokea kwa ghasia iwapo matokeo ya uchaguzi yatapingwa. 

Posts navigation

Older posts
Newer posts

Uncensored & Undaunted

Find Us Here

Facebook-f X-twitter Linkedin-in Youtube Instagram
  • Privacy Policy
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • Terms & Conditions

Mwanzo Tv News 

All Rights Reserved © 2024

We use cookies to ensure that we give you the best experience on our website. If you continue to use this site we will assume that you are happy with it. Privacy policy