Upotoshaji wamkera Rais wa Zanzibar Dk. Mwinyi
Rais Mwinyi alisema baada ya serikali kuingia makubaliano na kampuni ya kimataifa ya Dnata kuendeshwa uwanja wa ndege kisasa, yamekuwapo maneno mengi ya upotoshaji.
Rais Mwinyi alisema baada ya serikali kuingia makubaliano na kampuni ya kimataifa ya Dnata kuendeshwa uwanja wa ndege kisasa, yamekuwapo maneno mengi ya upotoshaji.
Miili hiyo imezikwa kwa pamoja jana Jumapili Julai 3, 2022 , majira ya usiku, huku vilio na simanzi zikitawala
Leo Tanzania inatimiza miaka 30 tangu turejee rasmi katika siasa za mfumo wa vyama vingi. Katika kipindi hicho, taifa letu limepitia katika kipindi cha furaha, majonzi, misukusuko na changamoto zote wakati taifa linapoanza njia mpya. Jambo hili si jepesi kwa sababu nyakati hizo hazikuwa rahisi duniani kote.
Waliofikishwa mahakamani kwa makosa hayo, ni Ofisa Rasilimali Watu wa mamlaka hiyo, Peter Gawile (58); Mwenyekiti wa Bodi ya Manunuzi, Casmily Lujegi (65); Mkurugenzi wa Idara ya Manunuzi, Mashaka Kisanta (59) na Kilian Chale (51), ambaye ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano.
Leo Juni 30, 2022 watuhumiwa hao wakiwemo madiwani tisa wa wilaya hiyo na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani humo Ndirango Laizer walifikishwa tena katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha.
Waziri Mkuu ametoa maagizo hayo leo Alhamisi tarehe 30 Juni, 2022, bungeni jijini Dodoma wakati akisoma hotuba yake kuhitimisha Mkutano wa saba wa bunge la 12 ulioanza tarehe 5 Aprili, 2022.
Akitoa Hukumu hiyo, Hakimu Mkazi Mkuu, Richard Kabate amesema mahakama hiyo imewatia hatiani washtakiwa hao na kila mmoja atatumikia kifungo cha miezi sita jela.
Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Kibinadamu Michelle Bachelet amesema idadi ya vifo nchini Syria katika kipindi cha miaka 10 ni takriban asilimia 1.5 ya idadi ya watu wa taifa hilo.
Akizungumza bungeni jijini hapa jana, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba, alisema serikali imezingatia dalili zote za walakini kabla ya kuupa baraka msimamo wake huo.
Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema waliokamatwa ni watuhumiwa waliokuwa wakijifanya wakuu wa shule, waganga wa kienyeji, ndugu wa waathirika, wahudumu wa makampuni ya simu au mawakala wa Freemason.