Kenya yazindua bajeti ya dola bilioni 28 ili kuchochea ukuaji wa uchumi
Mnamo 2020 zaidi ya watu 700,000 walipoteza kazi na Wakenya bado wanakabiliana na kupanda kwa gharama za bidhaa za kimsingi
Mnamo 2020 zaidi ya watu 700,000 walipoteza kazi na Wakenya bado wanakabiliana na kupanda kwa gharama za bidhaa za kimsingi
Shirika la kutetea haki za binadamu la HRW lilisema kwamba vikosi vya Mali na wapiganaji wa kigeni waliwaua raia 300 huko Moura, katika kile ilichokiita “ukatili mmoja mbaya zaidi kuripotiwa”
Sankara alishambuliwa na wanajeshi wenzake wakati wa mapigano yaliyomweka Compaore madarakani.
Alikuwa na umri wa miaka 37 tu.
Thomas Sankara alikuwa mkuu wa jeshi akiwa na umri wa miaka 33 tu alipoingia madarakani kwa mapinduzi mwaka wa 1983.
Mwanamume huyo mwenye umri wa miaka 37 alishtakiwa kwa kuandika taarifa kwenye Facebook zinazokosoa Uislamu na mtume wake
Watu hao17 wanahusishwa na kisa cha machafuko ambapo helikopta iliyokuwa imembeba Odinga ilipigwa mawe
Baadhi ya abiria walitekwa nyara na walionusurika walisema watu wenye silaha wamewanyakua abiria kadhaa, lakini haijabainika ni wangapi.
Kwa sasa Elon Musk ndiye mtu tajiri zaidi duniani, akiwa na utajiri wa dola bilioni 287.6, kulingana na Forbes.
Mahakama ya Rufaa ya Rwanda Jumatatu ilipitisha hukumu ya kifungo cha miaka 25 jela dhidi ya shujaa wa ‘Hotel Rwanda’ Paul Rusesabagina.
Hakuna treni za abiria za kutosha na barabara chache zinazoweza kutumiwa, kwa hivyo watu wanaohitaji kusafiri umbali mrefu mara nyingi husafiri kwa treni ya mizigo.