Shirika la Kimataifa la Kutetea Haki za binadamu limetangaza wasanii watakaoshiriki katika tamasha ya Global Citizen Live
Tamasha ya Global Citizen Live hufanyika kwenye siku moja na kuonyeshwa katika mabara yote saba kwa saa 24 kote duniani…
Tamasha ya Global Citizen Live hufanyika kwenye siku moja na kuonyeshwa katika mabara yote saba kwa saa 24 kote duniani…
“Nipo tayari kupatanishwa na Rais Uhuru.” Mhe. William Ruto
Afghanistan ni taifa linaloongoza katika upanzi wa mmea unaojulikana kama afyuni. Hutumika katika utengenezaji wa dawa tofauti za kulevya ikiwemo
heroini.
Rais wa ECOWAS Jean-Claude Kassi Brou amesema bila shaka kuwa ECOWAS imeiwekea Guinea vikwazo.
Ilichukua Taliban siku10 pekee kuiteka Afghanistan baada ya kuondoka kwa majeshi ya Amerika na kumlazimsha Rais Ashraf Ghani kutorokea Falme za Kiarabu, ila Taliban ni nani haswa?
Katika taarifa ya EPRA ya 14 Septemba lita ya petroli imeongezeka kwa Ksh. 7.58 na itauzwa kwa Ksh.134.72, lita ya dizeli imeongezeka kwa Ksh. 7.94 na itauzwa kwa 115.60 na mafuta ya taa yamepanda kwa Ksh. 12.97 na yatauzwa kwa Ksh. 110.82, bei hizi zikiwa kwa jiji la Nairobi.
Wakuu wa nchi, zaidi ya mawaziri 30, maafisa wa ngazi za juu serikalini na viongozi mashuhuri kutoka Afrika wamethibitisha kuhudhuria mkutano wa awamu ya sita wa Jukwaa la Biashara la Afrika (GBF Africa) utakaofanyika Oktoba 13- 14, 2021 katika Expo 2020 Dubai.
in the US, with grieving relatives vowing to “never forget” those who lost their lives.
Kutoka Afrika magharibi, Burkina Faso imekuwa na mapinduzi mengi yaliyofaulu. Serikali za Burkina Faso zimepinduliwa mara saba na jaribio moja ambalo halikufaulu.
Sikukuu ya mwaka mpya nchini Ethiopia inasheherekewa 11 Septemba,ikijulikana kama Enkutatash,katika lugha ya Amharic, lugha rasmi ya Ethiopia. Sikukuu hii ikiwa ni ya kusheherekea siku ya kwanza ya mwaka ya Meskerem, kulingana na kalenda ya Ethiopia.