Mfahamu jeshi aliyeongoza mapinduzi Guinea
Katika mahojiano na vituo vya habari, Luteni Kanali Doumbouya,
alisema aliongoza mapinduzi hayo ili kuiokoa nchi yake kutoka
kwa ufisadi, umasikini na rushwa uliokuwa umekithiri chini ya uongozi wa Rais Conde.