Wadh Kassim
-

Makabiliano baina ya jeshi na RSF yazuka upya Sudan
Watu 27 wameripotiwa kufariki dunia kutokana na mapambano mapya kati ya jeshi la Sudan na wanamgambo wa RSF mapema wiki hii katika mji wa El-Fasher, Darfu
-

Shule zafunguliwa nchini Kenya kwa Muhula wa Pili
Taarifa kutoka wizara ya elimu, imesema kuwa asilimia 95 ya shule ziko tayari kuanza tena muhula wa pili, huku hali katika baadhi ya taasisi za masomo katika kaunti saba zikiwa bado zinachunguzwa ili kuhakikisha unaafikia…
-

Bingwa wa dunia Mary Moraa ashinda taji la Diamond League katika mbio za mita 800,Doha
Katika nafasi ya pili, bingwa huyo aliweza kufuatiwa kwa karibu na Muingereza Jemma Reekie (1:58.42), Benin Noelie Yarigo wa uingereza (1:58.70) katika nafasi ya tatu, Muethiopia Habitam Alemu (1:59.08) katika nafasi ya nne na bingwa…
-

Idriss Deby Itno ashinda uchaguzi wa urais Chad
Dedy Itno amejizolea asilimia 61 za kura huku Succes Masra akijizolea asilimia 18.5, matokeo ambayo upinzani ukiongozwa na mgombea mwenza mkuu, Succes Masra wametofautiana na matokeo hayo.







