-

Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari atasafiri hadi London kwa uchunguzi wa kimatibabu
Buhari, 79, amekumbana na maswali mengi juu ya afya yake baada ya kukaa zaidi ya siku 100 huko London mnamo 2017 akipokea matibabu ya ugonjwa ambao haukujulikana.
-

Bei ya Mafuta ya Petroli na Dizeli yapanda nchini Tanzania
Ewura imetangaza bei hizo leo kuhusu bei za mafuta zitakazoanza kutumika kesho, imeainisha kuwa huenda gharama za mafuta zingekuwa juu zaidi kama Serikali isingeahirisha kodi ya shilingi 100 kwa kila lita moja ya mafuta.
-

Misri yatangaza kuongezeka kwa ushuru kwa utumizi wa Mfereji wa Suez
Ushuru kwa meli za mafuta ya petroli zitapandishwa kwa asilimia 10 kwa ada ya kutumia mfereji huo huku wachukuzi wa gesi asilia na meli za mizigo za jumla zitapata ongezeko la asilimia saba
-

Msigwa:Serikali haijalipia kuweka tangazo la Tanzania kwenye jengo la Burj Khalifa.
Msigwa amesema tangazo hilo la Tanzania linaonekana kuitangaza nchi hiyo limewekwa kutokana na uhusiano uliopo kati ya Tanzania na Umoja wa Falme za Kiarabu.
-

Uchunguzi kufanyika chanzo cha ndege kupata ajali Comoro.
Ndege hiyo ilipata ajali ikiwa chini ya kampuni ya Airline AB Aviation ya Comoro, baada ya kuikodisha kutoka kampuni ya Fly Zanzibar na ilikuwa imeshatimiza takribani wiki moja tangu ianze kazi huko.
-

Uvamizi wa Ukraine: athari zake za kisheria ni zipi?
ICJ ilisema Jumanne itafanya vikao kuhusu mauaji ya halaiki nchini Ukraine kati ya Machi 7 na 8
-

Afrika Kusini haijarekodi vifo vyovyote vinavyotokana na UVIKO 19, kwa mara ya kwanza tangu Mei 2020
Afrika Kusini iliripoti karibu vifo 100,000 vilivyotokana na UVIKO 19, na zaidi ya kesi milioni 3.6 za maambukizi.
-

UN imesema dola bilioni 1.7 zinahitajika kuisaidia Ukraine.
Hii ni kufuatia kuongezeka kwa mashambulizi ya Urusi nchini Ukraine yaliyosababisha mahitaji makubwa ya kibinadamu baada ya huduma muhimu kuathirika na maelfu ya watu kufungasha virago kuzikimbia nyumba zao kwenda kusaka usalama.
-

Mahakama yafuta kesi tano za Ugaidi
Hatua hiyo imekuja baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) kuieleza mahakama hiyo kuwa hana nia ya kuendelea na mashtaka dhidi yao.
-

Serikali yaelekeza nguvu kwenye mikoa inayongoza kwa ukatili
Mikoa inayoongoza kwa matukio ya ukatili ikiwamo vipigo, mauaji, ubakaji imetajwa kuwa ni Mara, Manyara, Dodoma na Singida.







