Rais Raisi wa Iran amefariki kwenye ajali ya ndege
Rais wa Iran Ebrahim Raisi amethibitishwa kuangamia kwenye ajali ya ndege aina ya helikopta aliyokuwa ameabiri pamoja na waziri wake…
Rais wa Iran Ebrahim Raisi amethibitishwa kuangamia kwenye ajali ya ndege aina ya helikopta aliyokuwa ameabiri pamoja na waziri wake…
Kenya began three days of mourning on Friday after its defence chief and nine other senior military officers were killed…
President William Ruto said the Kenya Air Force has dispatched an air investigation team to establish the cause of the crash, which took place in Elgeyo Marakwet county,
Dereva huyo anayefahamika kwa majina ya Lukuman Hemed amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Arusha mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo Sheila Mameto huku kesi hiyo ikiahirishwa hadi Aprili 30 mwaka huu, baada ya Mawakili wa upande wa Jamhuri kusema upelelezi wa kesi hiyo haujakamilika.
Kwa mujibu wa Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi, ukanda wa Pwani ndio ulioathirika zaidi ambapo watu 33 kati ya 58 wamefariki katika mkoa wa Morogoro na Pwani.